1
2 Wafalme 6:17
Neno: Bibilia Takatifu
Kisha Elisha akaomba, “Ee BWANA, mfumbue macho huyu mtumishi ili apate kuona.” Ndipo BWANA akayafumbua macho ya yule mtumishi, naye akatazama na kuona vilima vimejaa farasi na magari ya moto, yamemzunguka Elisha pande zote.
Compare
Explore 2 Wafalme 6:17
2
2 Wafalme 6:16
Nabii akajibu, “Usiogope. Wale walio pamoja nasi ni wengi zaidi kuliko wale walio pamoja nao.”
Explore 2 Wafalme 6:16
3
2 Wafalme 6:15
Kesho yake asubuhi na mapema, mtumishi wa mtu wa Mungu alipoamka na kutoka nje, jeshi, pamoja na farasi na magari ya vita, likawa limeuzunguka mji. Mtumishi wake akasema, “Ole wetu, bwana wangu! Tutafanya nini?”
Explore 2 Wafalme 6:15
4
2 Wafalme 6:18
Wakati adui waliposhuka kumwelekea, Elisha akamwomba BWANA: “Wapige watu hawa kwa upofu.” Basi Mungu akawapiga kwa upofu, kama Elisha alivyoomba.
Explore 2 Wafalme 6:18
5
2 Wafalme 6:6
Mtu wa Mungu akauliza, “Je, liliangukia wapi?” Alipomwonyesha mahali penyewe, Elisha akakata kijiti na kukitupa mahali pale, nalo shoka likaelea.
Explore 2 Wafalme 6:6
6
2 Wafalme 6:5
Mmoja wao alipokuwa anakata mti, shoka lilitumbukia kwenye maji. Akalia, “Ee bwana wangu, shoka lilikuwa la kuazima!”
Explore 2 Wafalme 6:5
7
2 Wafalme 6:7
Akasema, “Lichukue.” Kisha yule mtu akanyoosha mkono wake, akalichukua.
Explore 2 Wafalme 6:7
Home
Bible
Plans
Videos