1
2 Timotheo 2:15
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Jitahidi kujionesha kwa Mungu kuwa umekubaliwa naye, mtendakazi asiye na sababu ya kuona aibu, ukilitumia kwa usahihi neno la kweli.
Compare
Explore 2 Timotheo 2:15
2
2 Timotheo 2:22
Zikimbie tamaa mbaya za ujana, ufuate haki, imani, upendo na amani pamoja na wale wamwitao Bwana Isa kwa moyo safi.
Explore 2 Timotheo 2:22
3
2 Timotheo 2:24
Tena haimpasi mtumishi wa Bwana Isa kuwa mgomvi, bali inampasa awe mwema kwa kila mtu, awezaye kufundisha, tena mvumilivu.
Explore 2 Timotheo 2:24
4
2 Timotheo 2:13
Tusipoaminika, yeye hudumu akiwa mwaminifu, kwa maana hawezi kujikana mwenyewe.
Explore 2 Timotheo 2:13
5
2 Timotheo 2:25
Inampasa kuwaonya kwa upole wale wanaopingana naye, kwa matumaini kwamba Mungu atawajalia kutubu na kuijua kweli
Explore 2 Timotheo 2:25
6
2 Timotheo 2:16
Jiepushe na maneno machafu yasiyo ya utauwa, kwa maana hayo huzidi kuwatosa watu katika kutomcha Mungu.
Explore 2 Timotheo 2:16
Home
Bible
Plans
Videos