1
Amosi 8:11
Neno: Bibilia Takatifu
“Siku zinakuja,” asema BWANA Mwenyezi, “wakati nitakapotuma njaa katika nchi yote: si njaa ya chakula wala kiu ya maji, lakini njaa ya kusikia maneno ya BWANA.
Compare
Explore Amosi 8:11
2
Amosi 8:12
Wanaume watayumbayumba kutoka bahari hadi bahari na kutangatanga kutoka kaskazini mpaka mashariki, wakitafuta neno la BWANA, lakini hawatalipata.
Explore Amosi 8:12
Home
Bible
Plans
Videos