1
Kumbukumbu 20:4
Neno: Bibilia Takatifu
Kwa kuwa BWANA Mungu wenu ndiye huenda pamoja nanyi kuwapigania dhidi ya adui zenu na kuwapatia ushindi.”
Compare
Explore Kumbukumbu 20:4
2
Kumbukumbu 20:1
Mtakapokwenda vitani kupigana na adui zenu na mkaona farasi na magari ya vita na jeshi kubwa kuliko lenu, msiwaogope, kwa sababu BWANA Mungu wenu aliyewatoa kutoka Misri, atakuwa pamoja nanyi.
Explore Kumbukumbu 20:1
3
Kumbukumbu 20:3
Atasema: “Sikia, ee Israeli, leo unakwenda vitani kupigana na adui zako. Usife moyo wala usiogope, usitishwe wala usitiwe hofu mbele yao.
Explore Kumbukumbu 20:3
Home
Bible
Plans
Videos