1
Kumbukumbu 32:4
Neno: Bibilia Takatifu
Yeye ni Mwamba, kazi zake ni kamilifu, njia zake zote ni haki. Mungu mwaminifu ambaye hakosei, yeye ni mnyofu na mwenye haki.
Compare
Explore Kumbukumbu 32:4
2
Kumbukumbu 32:39
“Tazama basi, Mimi mwenyewe, Mimi Ndiye! Hakuna mungu mwingine ila Mimi. Mimi ninaua na Mimi ninafufua, Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya, wala hakuna awezaye kuokoa kutoka mkononi mwangu.
Explore Kumbukumbu 32:39
3
Kumbukumbu 32:3
Nitalitangaza jina la BWANA. Naam, sifuni ukuu wa Mungu wetu!
Explore Kumbukumbu 32:3
Home
Bible
Plans
Videos