1
Kutoka 22:22-23
Neno: Bibilia Takatifu
“Usimdhulumu mjane wala yatima. Kama ukifanya hivyo nao wakinililia, hakika nitasikia kilio chao.
Compare
Explore Kutoka 22:22-23
2
Kutoka 22:21
“Usimtendee mgeni vibaya au kumwonea, kwa kuwa nanyi mlikuwa wageni huko Misri.
Explore Kutoka 22:21
3
Kutoka 22:18
“Usiruhusu mwanamke mchawi aishi.
Explore Kutoka 22:18
4
Kutoka 22:25
“Kama ukimkopesha mmojawapo wa watu wangu fedha ambaye ni mhitaji, usiwe kama mtu mkopesha fedha; usimtoze riba.
Explore Kutoka 22:25
Home
Bible
Plans
Videos