1
Ezekieli 2:2-3
Neno: Bibilia Takatifu
Alipokuwa akiongea nami, Roho akanijia na kunisimamisha wima, nikamsikia akisema nami. Akaniambia: “Mwanadamu, ninakutuma kwa Waisraeli, kwa taifa asi ambalo limeniasi mimi, wao na baba zao wananikosea mimi hadi leo.
Compare
Explore Ezekieli 2:2-3
2
Ezekieli 2:7-8
Wewe lazima uwaambie maneno yangu, ikiwa wanasikiliza au hawasikilizi, kwa kuwa wao ni watu waasi. Lakini wewe mwanadamu, sikiliza ninalokuambia. Usiwe mwenye kuasi kama hiyo nyumba ya kuasi. Fungua kinywa chako na ule nikupacho.”
Explore Ezekieli 2:7-8
3
Ezekieli 2:5
Kama watasikiliza au hawatasikiliza, kwa kuwa wao ni nyumba ya kuasi, watajua nabii amekuwa miongoni mwao.
Explore Ezekieli 2:5
Home
Bible
Plans
Videos