1
Hagai 2:9
Neno: Bibilia Takatifu
‘Utukufu wa nyumba hii ya sasa utakuwa mkubwa kuliko utukufu wa ile nyumba ya mwanzoni,’ asema BWANA Mwenye Nguvu Zote. ‘Na mahali hapa nitawapa amani,’ asema BWANA Mwenye Nguvu Zote.”
Compare
Explore Hagai 2:9
2
Hagai 2:7
Nitatikisa mataifa yote, nacho kile kinachotamaniwa na mataifa yote kitakuja, nami nitaujaza utukufu katika nyumba hii,’ asema BWANA Mwenye Nguvu Zote.
Explore Hagai 2:7
3
Hagai 2:4
Lakini sasa uwe imara, ee Zerubabeli,’ asema BWANA. ‘Kuwa imara, ee kuhani mkuu Yoshua mwana wa Yehosadaki. Mwe imara, enyi watu wote wa nchi,’ asema BWANA, ‘na mfanye kazi. Kwa kuwa mimi nipo pamoja nanyi,’ asema BWANA Mwenye Nguvu Zote.
Explore Hagai 2:4
4
Hagai 2:5
‘Hili ndilo nililoagana nanyi mlipotoka katika nchi ya Misri. Pia Roho wangu anadumu katikati yenu. Msiogope.’
Explore Hagai 2:5
Home
Bible
Plans
Videos