1
Waebrania 8:12
Neno: Bibilia Takatifu
Kwa sababu nitasamehe uovu wao, wala sitazikumbuka dhambi zao tena!”
Compare
Explore Waebrania 8:12
2
Waebrania 8:10
Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli baada ya siku zile, asema Bwana. Nitaziweka sheria zangu katika nia zao na kuziandika mioyoni mwao. Nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
Explore Waebrania 8:10
3
Waebrania 8:11
Mtu hatamfundisha tena jirani yake, wala mtu kumfundisha ndugu yake akisema, ‘Mjue Bwana,’ kwa sababu wote watanijua mimi, tangu aliye mdogo kabisa kwao, hadi aliye mkuu sana.
Explore Waebrania 8:11
4
Waebrania 8:8
Lakini Mungu aliona kosa kwa watu, naye akasema: “Siku zinakuja, asema Bwana, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda.
Explore Waebrania 8:8
5
Waebrania 8:1
Basi jambo tunalotaka kulisema ni hili: Tunaye Kuhani Mkuu ambaye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Aliye Mkuu mbinguni
Explore Waebrania 8:1
Home
Bible
Plans
Videos