1
Hosea 14:9
Neno: Bibilia Takatifu
Ni nani mwenye hekima? Atayatambua mambo haya. Ni nani mwenye ufahamu? Huyu atayaelewa. Njia za BWANA ni adili; wenye haki huenda katika njia hizo, lakini waasi watajikwaa ndani yake.
Compare
Explore Hosea 14:9
2
Hosea 14:2
Chukueni maneno pamoja nanyi, mkamrudie BWANA. Mwambieni: “Samehe dhambi zetu zote na utupokee kwa neema, ili tuweze kutoa matunda yetu kama sadaka za mafahali.
Explore Hosea 14:2
3
Hosea 14:4
“Nitaponya ukaidi wao na kuwapenda kwa hiari yangu, kwa kuwa hasira yangu imeondoka kwao.
Explore Hosea 14:4
Home
Bible
Plans
Videos