1
Isaya 11:2-3
Neno: Bibilia Takatifu
Roho wa BWANA atakaa juu yake, Roho wa hekima na wa ufahamu, Roho wa shauri na wa uweza, Roho wa maarifa na wa kumcha BWANA naye atafurahia kumcha BWANA.
Compare
Explore Isaya 11:2-3
2
Isaya 11:1
Chipukizi litatokea kutoka shina la Yese, kutoka mizizi yake Tawi litazaa tunda.
Explore Isaya 11:1
3
Isaya 11:4
bali kwa uadilifu atahukumu wahitaji, kwa haki ataamua wanyenyekevu wa dunia. Ataipiga dunia kwa fimbo ya kinywa chake, kwa pumzi ya midomo yake atawaua waovu.
Explore Isaya 11:4
4
Isaya 11:5
Haki itakuwa mkanda wake na uaminifu utakuwa mshipi kiunoni mwake.
Explore Isaya 11:5
5
Isaya 11:9
Hawatadhuru wala kuharibu juu ya mlima wangu mtakatifu wote, kwa kuwa dunia itajawa na kumjua BWANA kama maji yajazavyo bahari.
Explore Isaya 11:9
6
Isaya 11:6
Mbwa mwitu ataishi pamoja na mwana-kondoo, naye chui atalala pamoja na mbuzi, ndama, mwana simba na ngʼombe wa mwaka mmoja watakaa pamoja, naye mtoto mdogo atawaongoza.
Explore Isaya 11:6
7
Isaya 11:10
Katika siku hiyo, Shina la Yese atasimama kama bendera kwa ajili ya mataifa. Mataifa yatakusanyika kwake, na mahali pake pa kupumzikia patakuwa utukufu.
Explore Isaya 11:10
Home
Bible
Plans
Videos