1
Isaya 19:25
Neno: Bibilia Takatifu
BWANA Mwenye Nguvu Zote atawabariki, akisema, “Baraka iwe kwa Misri watu wangu, kwa Ashuru kazi ya mikono yangu, na kwa Israeli urithi wangu.”
Compare
Explore Isaya 19:25
2
Isaya 19:20
Itakuwa alama na ushahidi kwa ajili ya BWANA Mwenye Nguvu Zote katika nchi ya Misri. Watakapomlilia BWANA kwa sababu ya watesi wao, Mungu atawapelekea mwokozi na mtetezi, naye atawaokoa.
Explore Isaya 19:20
3
Isaya 19:1
Neno kuhusu Misri: Tazama, BWANA amepanda juu ya wingu liendalo kwa haraka naye anakuja Misri. Sanamu za Misri zinatetemeka mbele yake, nayo mioyo ya Wamisri inayeyuka ndani yao.
Explore Isaya 19:1
4
Isaya 19:19
Katika siku hiyo patakuwepo madhabahu ya BWANA katikati ya Misri na mnara wa kumbukumbu kwa BWANA kwenye mpaka wa Misri.
Explore Isaya 19:19
Home
Bible
Plans
Videos