1
Isaya 23:18
Neno: Bibilia Takatifu
Lakini faida na mapato yake yatawekwa wakfu kwa BWANA; hayatahifadhiwa wala kufichwa. Faida zake zitakwenda kwa wale wakaao mbele za BWANA kwa ajili ya chakula tele na mavazi mazuri.
Compare
Explore Isaya 23:18
2
Isaya 23:9
BWANA Mwenye Nguvu Zote ndiye alipanga jambo hili, ili kukishusha kiburi cha utukufu wote na kuwanyenyekesha wale wote ambao ni mashuhuri duniani.
Explore Isaya 23:9
3
Isaya 23:1
Neno kuhusu Tiro: Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi! Kwa kuwa Tiro imeangamizwa, imeachwa bila nyumba wala bandari. Kuanzia nchi ya Kitimu neno limewajia.
Explore Isaya 23:1
Home
Bible
Plans
Videos