1
Isaya 63:9
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Katika taabu zao zote naye alitaabika, na malaika wa uso wake akawaokoa. Katika upendo wake na rehema zake aliwakomboa, akawainua na kuwachukua siku zote zilizopita.
Compare
Explore Isaya 63:9
2
Isaya 63:7
Nitasimulia kuhusu wema wa BWANA, kwa matendo ambayo apaswa kusifiwa, sawasawa na yote ambayo BWANA ametenda kwa ajili yetu: naam, mambo mengi mema aliyoyatenda kwa ajili ya nyumba ya Israeli, sawasawa na huruma zake na wema wake mwingi.
Explore Isaya 63:7
Home
Bible
Plans
Videos