1
Isaya 65:24
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kabla hawajaita, nitajibu, nao wakiwa katika kunena, nitasikia.
Compare
Explore Isaya 65:24
2
Isaya 65:17
“Tazama, nitaumba mbingu mpya na dunia mpya. Mambo ya zamani hayatakumbukwa, wala hayatakuja akilini.
Explore Isaya 65:17
3
Isaya 65:23
Hawatajitaabisha kwa kazi bure, wala hawatazaa watoto ili wapatwe na majanga, kwa kuwa watakuwa taifa lililobarikiwa na Mwenyezi Mungu, wao na wazao wao pamoja nao.
Explore Isaya 65:23
4
Isaya 65:22
Hawatajenga nyumba, nao watu wengine waishi ndani yake, au kupanda mazao na wengine wale. Kwa kuwa kama zilivyo siku za mti, ndivyo zitakavyokuwa siku za watu wangu, wateule wangu watafurahia kwa siku nyingi kazi za mikono yao.
Explore Isaya 65:22
5
Isaya 65:20
“Kamwe hapatakuwa tena ndani yake mtoto mchanga atakayeishi siku chache tu, au mzee ambaye hataishi akatimiza miaka yake. Yeye atakayekufa akiwa na umri wa miaka mia moja atahesabiwa kwamba ni kijana tu, yeye ambaye hatafika miaka mia moja, atahesabiwa kuwa amelaaniwa.
Explore Isaya 65:20
6
Isaya 65:25
Mbwa-mwitu na mwana-kondoo watalisha pamoja, naye simba atakula nyasi kama maksai, lakini mavumbi yatakuwa chakula cha nyoka. Hawatadhuru wala kuharibu katika mlima wangu mtakatifu wote,” asema Mwenyezi Mungu.
Explore Isaya 65:25
7
Isaya 65:19
Nami nitaifurahia Yerusalemu na kuwafurahia watu wangu; sauti ya maombolezo na ya kilio haitasikika humo tena.
Explore Isaya 65:19
Home
Bible
Plans
Videos