1
Yeremia 37:17
Neno: Bibilia Takatifu
Kisha Mfalme Sedekia akatumana aletwe katika jumba la kifalme, mahali alipomuuliza kwa siri, “Je, kuna neno lolote kutoka kwa BWANA?” Yeremia akajibu, “Ndiyo, utatiwa mikononi mwa mfalme wa Babeli.”
Compare
Explore Yeremia 37:17
2
Yeremia 37:15
Wakamkasirikia Yeremia, wakaamuru apigwe, na akafungwa katika nyumba ya Yonathani mwandishi waliyokuwa wameifanya gereza.
Explore Yeremia 37:15
3
Yeremia 37:2
Lakini sio Sedekia, wala watumishi wake, wala watu wa nchi walisikiliza maneno ya BWANA aliyonena kupitia kwa nabii Yeremia.
Explore Yeremia 37:2
4
Yeremia 37:9
“Hili ndilo BWANA asemalo: Msijidanganye wenyewe mkifikiri, ‘Hakika Wakaldayo watatuacha na kwenda zao.’ Hakika hawatawaacha!
Explore Yeremia 37:9
Home
Bible
Plans
Videos