1
Ayubu 28:28
Neno: Bibilia Takatifu
Naye Mungu akamwambia mwanadamu, ‘Kumcha BWANA: hiyo ndiyo hekima, nako kujitenga na uovu ndio ufahamu.’ ”
Compare
Explore Ayubu 28:28
2
Ayubu 28:12-13
“Lakini hekima inaweza kupatikana wapi? Ufahamu unakaa wapi? Mwanadamu hatambui thamani yake; haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai.
Explore Ayubu 28:12-13
3
Ayubu 28:20-21
“Ni wapi basi hekima itokako? Ufahamu hukaa wapi? Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai, imesitiriwa hata kwa ndege wa angani.
Explore Ayubu 28:20-21
Home
Bible
Plans
Videos