Mungu husema na mwanadamu katika ndoto,
katika maono ya usiku,
wakati usingizi mzito uwaangukiapo
wanadamu wasinziapo vitandani mwao,
anaweza akasemea masikioni mwao,
na kuwatia hofu kwa maonyo,
ili kumgeuza mtu kutoka kwenye kutenda mabaya
na kumwepusha na kiburi,
kuiokoa nafsi yake na shimo,
uhai wake usiangamizwe kwa upanga.