1
Yoeli 2:12
Neno: Bibilia Takatifu
“Hata sasa,” asema BWANA, “nirudieni kwa mioyo yenu yote, kwa kufunga, kwa kulia na kuomboleza.”
Compare
Explore Yoeli 2:12
2
Yoeli 2:28
“Hata itakuwa, baada ya hayo, nitamimina Roho wangu juu ya wote wenye mwili. Wana wenu na binti zenu watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono.
Explore Yoeli 2:28
3
Yoeli 2:13
Rarueni mioyo yenu na siyo mavazi yenu. Mrudieni BWANA, Mungu wenu, kwa maana yeye ndiye mwenye neema na mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa upendo, huona huruma, hujizuia kuleta maafa.
Explore Yoeli 2:13
4
Yoeli 2:32
Na kila mtu atakayeliitia jina la BWANA ataokolewa. Kwa maana juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu kutakuwepo wokovu, kama BWANA alivyosema, miongoni mwa walionusurika ambao BWANA awaita.
Explore Yoeli 2:32
5
Yoeli 2:31
Jua litageuzwa kuwa giza na mwezi kuwa mwekundu kama damu, kabla ya kuja siku ya BWANA ile kuu na ya kutisha.
Explore Yoeli 2:31
Home
Bible
Plans
Videos