1
Malaki 4:5-6
Neno: Bibilia Takatifu
“Tazama, nitawapelekea nabii Eliya kabla ya kuja siku ile iliyo kuu na ya kutisha ya BWANA. Ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, la sivyo nitakuja na kuipiga nchi kwa laana.”
Compare
Explore Malaki 4:5-6
2
Malaki 4:1
“Hakika siku inakuja, itawaka kama tanuru. Wote wenye kiburi na kila mtenda mabaya watakuwa mabua makavu, na siku ile inayokuja itawawasha moto,” asema BWANA Mwenye Nguvu Zote. “Hakuna mzizi wala tawi litakalosalia kwao.
Explore Malaki 4:1
Home
Bible
Plans
Videos