1
Mathayo 11:28
Neno: Bibilia Takatifu
“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
Compare
Explore Mathayo 11:28
2
Mathayo 11:29
Jifungeni nira yangu, mjifunze kutoka kwangu, kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu.
Explore Mathayo 11:29
3
Mathayo 11:30
Kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.”
Explore Mathayo 11:30
4
Mathayo 11:27
“Nimekabidhiwa vitu vyote na Baba yangu: Hakuna mtu amjuaye Mwana ila Baba, wala hakuna amjuaye Baba ila Mwana na yeyote ambaye Mwana anapenda kumfunulia.
Explore Mathayo 11:27
5
Mathayo 11:4-5
Yesu akajibu, “Rudini mkamwambie Yohana yale mnayosikia na kuyaona: Vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa habari njema.
Explore Mathayo 11:4-5
6
Mathayo 11:15
Yeye aliye na masikio, na asikie.
Explore Mathayo 11:15
Home
Bible
Plans
Videos