1
Mathayo 8:26
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Naye Isa akawaambia, “Kwa nini mnaogopa, enyi wa imani haba?” Kisha akaamka na kukemea dhoruba na mawimbi, nayo bahari ikatulia kabisa.
Compare
Explore Mathayo 8:26
2
Mathayo 8:8
Lakini yule jemadari akamwambia, “Bwana, mimi sistahili wewe kuingia ndani ya nyumba yangu. Lakini sema neno tu, naye mtumishi wangu atapona.
Explore Mathayo 8:8
3
Mathayo 8:10
Isa aliposikia maneno haya, alishangaa, akawaambia wale waliomfuata, “Amin, nawaambia, hata katika Israeli sijapata kuona yeyote mwenye imani kubwa namna hii.
Explore Mathayo 8:10
4
Mathayo 8:13
Kisha Isa akamwambia yule jemadari, “Nenda na iwe kwako sawasawa na imani yako.” Naye yule mtumishi akapona wakati ule ule.
Explore Mathayo 8:13
5
Mathayo 8:27
Wale watu wakashangaa, wakisema, “Ni mtu wa namna gani huyu? Hata upepo na mawimbi vinamtii!”
Explore Mathayo 8:27
Home
Bible
Plans
Videos