1
Zaburi 118:24
Neno: Bibilia Takatifu
Hii ndiyo siku BWANA aliyoifanya, tushangilie na kufurahi ndani yake.
Compare
Explore Zaburi 118:24
2
Zaburi 118:6
BWANA yuko pamoja nami, sitaogopa. Mwanadamu anaweza kunitenda nini?
Explore Zaburi 118:6
3
Zaburi 118:8
Ni bora kumkimbilia BWANA kuliko kumtumainia mwanadamu.
Explore Zaburi 118:8
4
Zaburi 118:5
Wakati wa maumivu yangu makuu nilimlilia BWANA, naye akanijibu kwa kuniweka huru.
Explore Zaburi 118:5
5
Zaburi 118:29
Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema; upendo wake wadumu milele.
Explore Zaburi 118:29
6
Zaburi 118:1
Mshukuruni BWANA, kwa kuwa ni mwema; upendo wake wadumu milele.
Explore Zaburi 118:1
7
Zaburi 118:14
BWANA ni nguvu yangu na wimbo wangu, yeye amefanyika wokovu wangu.
Explore Zaburi 118:14
8
Zaburi 118:9
Ni bora kumkimbilia BWANA kuliko kuwatumainia wakuu.
Explore Zaburi 118:9
9
Zaburi 118:22
Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Explore Zaburi 118:22
Home
Bible
Plans
Videos