1
Zaburi 26:2-3
Neno: Bibilia Takatifu
Ee BWANA, unijaribu, unipime, uuchunguze moyo wangu na mawazo yangu; kwa maana upendo wako uko mbele yangu daima, nami natembea siku zote katika kweli yako.
Compare
Explore Zaburi 26:2-3
2
Zaburi 26:1
Ee BWANA, nithibitishe katika haki, maana nimeishi maisha yasiyo na lawama; nimemtumainia BWANA bila kusitasita.
Explore Zaburi 26:1
Home
Bible
Plans
Videos