1
Zaburi 28:7
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mwenyezi Mungu ni nguvu zangu na ngao yangu, moyo wangu umemtumaini yeye, nami nimesaidiwa. Moyo wangu unarukaruka kwa furaha nami nitamshukuru kwa wimbo.
Compare
Explore Zaburi 28:7
2
Zaburi 28:8
Mwenyezi Mungu ni nguvu ya watu wake, ngome ya wokovu kwa mpakwa mafuta wake.
Explore Zaburi 28:8
3
Zaburi 28:6
Ahimidiwe Mwenyezi Mungu, kwa maana amesikia kilio changu nikimwomba anihurumie.
Explore Zaburi 28:6
4
Zaburi 28:9
Waokoe watu wako na uubariki urithi wako; uwe mchungaji wao na uwabebe milele.
Explore Zaburi 28:9
Home
Bible
Plans
Videos