1
Zaburi 63:1
Neno: Bibilia Takatifu
Ee Mungu, wewe ni Mungu wangu, nakutafuta kwa moyo wote; nafsi yangu inakuonea kiu, mwili wangu unakuonea wewe shauku, katika nchi kame na iliyochoka mahali ambapo hapana maji.
Compare
Explore Zaburi 63:1
2
Zaburi 63:3
Kwa sababu upendo wako ni bora kuliko uhai, midomo yangu itakuadhimisha.
Explore Zaburi 63:3
3
Zaburi 63:4
Nitakusifu siku zote za maisha yangu, na kwa jina lako nitainua mikono yangu.
Explore Zaburi 63:4
4
Zaburi 63:2
Nimekuona katika mahali patakatifu na kuuona uwezo wako na utukufu wako.
Explore Zaburi 63:2
5
Zaburi 63:7-8
Kwa sababu wewe ndiwe msaada wangu, chini ya uvuli wa mbawa zako naimba. Nafsi yangu inaambatana nawe, mkono wako wa kuume hunishika.
Explore Zaburi 63:7-8
6
Zaburi 63:6
Kitandani mwangu ninakukumbuka wewe, ninawaza juu yako makesha yote ya usiku.
Explore Zaburi 63:6
Home
Bible
Plans
Videos