1
Zaburi 7:17
Neno: Bibilia Takatifu
Nitamshukuru BWANA kwa ajili ya haki yake, na nitaliimbia sifa jina la BWANA Aliye Juu Sana.
Compare
Explore Zaburi 7:17
2
Zaburi 7:10
Ngao langu ni Mungu Aliye Juu Sana, awaokoaye wanyofu wa moyo.
Explore Zaburi 7:10
3
Zaburi 7:11
Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Mungu aghadhibikaye kila siku.
Explore Zaburi 7:11
4
Zaburi 7:9
Ee Mungu mwenye haki, uchunguzaye mawazo na mioyo, komesha ghasia za waovu na ufanye wenye haki waishi kwa amani.
Explore Zaburi 7:9
5
Zaburi 7:1
Ee BWANA, Mungu wangu, ninakukimbilia wewe, uniokoe na kunikomboa na wote wanaonifuatia
Explore Zaburi 7:1
Home
Bible
Plans
Videos