1
Zaburi 81:10
Neno: Bibilia Takatifu
Mimi ni BWANA Mungu wako, niliyekutoa nchi ya Misri. Panua sana kinywa chako nami nitakijaza.
Compare
Explore Zaburi 81:10
2
Zaburi 81:13-14
“Laiti kama watu wangu wangalinisikiliza, kama Israeli wangalifuata njia zangu, ningaliwatiisha adui zao kwa haraka, na kuugeuza mkono wangu dhidi ya watesi wao!
Explore Zaburi 81:13-14
Home
Bible
Plans
Videos