1
Zaburi 86:11
Neno: Bibilia Takatifu
Ee BWANA, nifundishe njia yako, nami nitakwenda katika kweli yako; nipe moyo usiositasita, ili niweze kulicha jina lako.
Compare
Explore Zaburi 86:11
2
Zaburi 86:5
Ee BWANA, wewe ni mwema na mwenye kusamehe, umejaa upendo kwa wote wakuitao.
Explore Zaburi 86:5
3
Zaburi 86:15
Lakini wewe, Ee BWANA, ni Mungu wa huruma na neema, si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo na uaminifu.
Explore Zaburi 86:15
4
Zaburi 86:12
Ee BWANA wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitaliadhimisha jina lako milele.
Explore Zaburi 86:12
5
Zaburi 86:7
Katika siku ya shida yangu nitakuita, kwa maana wewe utanijibu.
Explore Zaburi 86:7
Home
Bible
Plans
Videos