1
Zaburi 9:10
Neno: Bibilia Takatifu
Wote wanaolijua jina lako watakutumaini wewe, kwa maana wewe BWANA, hujawaacha kamwe wakutafutao.
Compare
Explore Zaburi 9:10
2
Zaburi 9:1
Ee BWANA, nitakutukuza kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu.
Explore Zaburi 9:1
3
Zaburi 9:9
BWANA ni kimbilio la watu wanaoonewa, ni ngome imara wakati wa shida.
Explore Zaburi 9:9
4
Zaburi 9:2
Nitafurahi na kushangilia ndani yako. Nitaliimbia sifa jina lako, Ewe Uliye Juu Sana.
Explore Zaburi 9:2
5
Zaburi 9:8
Mungu atahukumu ulimwengu kwa haki, atatawala mataifa kwa haki.
Explore Zaburi 9:8
Home
Bible
Plans
Videos