1
Zaburi 97:10
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Wale wanaompenda Mwenyezi Mungu na wauchukie uovu, kwa maana yeye hulinda maisha ya waaminifu wake na kuwaokoa kutoka mkononi mwa mwovu.
Compare
Explore Zaburi 97:10
2
Zaburi 97:12
Furahini katika Mwenyezi Mungu, enyi wenye haki, lisifuni jina lake takatifu.
Explore Zaburi 97:12
3
Zaburi 97:11
Nuru huangaza wenye haki na furaha kwa watu wanyofu wa moyo.
Explore Zaburi 97:11
4
Zaburi 97:9
Kwa kuwa wewe, Ee Mwenyezi Mungu, ndiwe Uliye Juu Sana kuliko dunia yote; umetukuka sana juu ya miungu yote.
Explore Zaburi 97:9
Home
Bible
Plans
Videos