1
Zaburi 98:1
Neno: Bibilia Takatifu
Mwimbieni BWANA wimbo mpya, kwa maana ametenda mambo ya ajabu; kitanga chake cha kuume na mkono wake mtakatifu umemfanyia wokovu.
Compare
Explore Zaburi 98:1
2
Zaburi 98:4
Mpigieni BWANA kelele za shangwe, dunia yote, ipaze sauti kwa nyimbo za shangwe na vinanda
Explore Zaburi 98:4
3
Zaburi 98:9
vyote na viimbe mbele za BWANA, kwa maana yuaja kuhukumu dunia. Atahukumu dunia kwa haki na mataifa kwa haki.
Explore Zaburi 98:9
Home
Bible
Plans
Videos