1
Ufunuo 18:4
Neno: Bibilia Takatifu
Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema: “Tokeni katikati yake, enyi watu wangu, ili msije mkashiriki dhambi zake, ili msije mkapatwa na pigo lake lolote
Compare
Explore Ufunuo 18:4
2
Ufunuo 18:2
Naye akalia kwa nguvu kwa sauti kubwa, akisema: “Umeanguka! Umeanguka Babeli Mkuu! Umekuwa makao ya mashetani na makazi ya kila pepo mchafu, makazi ya kila ndege na kila mnyama achukizaye.
Explore Ufunuo 18:2
Home
Bible
Plans
Videos