1
Sefania 3:17
Neno: Bibilia Takatifu
BWANA Mungu wako yu pamoja nawe, yeye ni mwenye nguvu kuokoa. Atakufurahia kwa furaha kubwa, atakutuliza kwa pendo lake, atakufurahia kwa kuimba.”
Compare
Explore Sefania 3:17
2
Sefania 3:20
Wakati huo nitawakusanya; wakati huo nitawaleta nyumbani. Nitawapa sifa na heshima miongoni mwa mataifa yote ya dunia wakati nitakapowarudishia mateka yenu mbele ya macho yenu hasa,” asema BWANA.
Explore Sefania 3:20
3
Sefania 3:15
BWANA amekuondolea adhabu yako, amewarudisha nyuma adui zako. BWANA, Mfalme wa Israeli, yu pamoja nawe; kamwe hutaogopa tena madhara yoyote.
Explore Sefania 3:15
4
Sefania 3:19
Wakati huo nitawashughulikia wote waliokudhulumu; nitaokoa vilema na kukusanya wale ambao wametawanywa. Nitawapa sifa na heshima katika kila nchi ambayo waliaibishwa.
Explore Sefania 3:19
Home
Bible
Plans
Videos