1
1 Kor 12:7
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa kufaidiana.
Compare
Explore 1 Kor 12:7
2
1 Kor 12:27
Basi ninyi mmekuwa mwili wa Kristo, na viungo kila kimoja peke yake.
Explore 1 Kor 12:27
3
1 Kor 12:26
Na kiungo kimoja kikiumia, viungo vyote huumia nacho, na kiungo kimoja kikitukuzwa, viungo vyote hufurahi pamoja nacho.
Explore 1 Kor 12:26
4
1 Kor 12:8-10
Maana mtu mmoja kwa Roho apewa neno la hekima; na mwingine neno la maarifa, apendavyo Roho yeye yule; mwingine imani katika Roho yeye yule; na mwingine karama za kuponya katika Roho yule mmoja; na mwingine matendo ya miujiza; na mwingine unabii; na mwingine kupambanua roho; mwingine aina za lugha; na mwingine tafsiri za lugha
Explore 1 Kor 12:8-10
5
1 Kor 12:11
lakini kazi hizi zote huzitenda Roho huyo mmoja, yeye yule, akimgawia kila mtu peke yake kama apendavyo yeye.
Explore 1 Kor 12:11
6
1 Kor 12:25
ili kusiwe na faraka katika mwili, bali viungo vitunzane kila kiungo na mwenziwe.
Explore 1 Kor 12:25
7
1 Kor 12:4-6
Basi pana tofauti za karama; bali Roho ni yeye yule. Tena pana tofauti za huduma, na Bwana ni yeye yule. Kisha pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote.
Explore 1 Kor 12:4-6
8
1 Kor 12:28
Na Mungu ameweka wengine katika Kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kisha miujiza, kisha karama za kuponya wagonjwa, na masaidiano, na maongozi, na aina za lugha.
Explore 1 Kor 12:28
9
1 Kor 12:14
Kwa maana mwili si kiungo kimoja, bali ni vingi.
Explore 1 Kor 12:14
10
1 Kor 12:22
Bali zaidi sana vile viungo vya mwili vidhaniwavyo kuwa vinyonge zaidi vyahitajiwa zaidi.
Explore 1 Kor 12:22
11
1 Kor 12:17-19
Kama mwili wote ukiwa jicho, ku wapi kusikia? Kama wote ni sikio ku wapi kunusa? Bali Mungu amevitia viungo kila kimoja katika mwili kama alivyotaka. Lakini kama vyote vingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi?
Explore 1 Kor 12:17-19
Home
Bible
Plans
Videos