1
1 The 3:12
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Bwana na awaongeze na kuwazidisha katika upendo, ninyi kwa ninyi, na kwa watu wote, kama vile sisi nasi tulivyo kwenu
Compare
Explore 1 The 3:12
2
1 The 3:13
apate kuifanya imara mioyo yenu iwe bila lawama katika utakatifu mbele za Mungu, Baba yetu, wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu pamoja na watakatifu wake wote.
Explore 1 The 3:13
3
1 The 3:7
Kwa sababu hiyo, ndugu, tulifarijiwa kwa habari zenu, katika msiba na dhiki yetu yote, kwa imani yenu.
Explore 1 The 3:7
Home
Bible
Plans
Videos