1
2 Tim 1:7
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya moyo wa kiasi.
Compare
Explore 2 Tim 1:7
2
2 Tim 1:9
ambaye alituokoa akatuita kwa mwito mtakatifu, si kwa kadiri ya matendo yetu sisi, bali kwa kadiri ya makusudi yake yeye na neema yake. Neema hiyo tulipewa katika Kristo Yesu tangu milele
Explore 2 Tim 1:9
3
2 Tim 1:6
Kwa sababu hiyo nakukumbusha, uichochee karama ya Mungu, iliyo ndani yako kwa kuwekewa mikono yangu.
Explore 2 Tim 1:6
4
2 Tim 1:8
Basi usiuonee haya ushuhuda wa Bwana wetu, wala usinionee haya mimi mfungwa wake, bali uvumilie mabaya pamoja nami kwa ajili ya Injili, kwa kadiri ya nguvu ya Mungu
Explore 2 Tim 1:8
5
2 Tim 1:12
Kwa sababu hiyo nimepatikana na mateso haya, wala sitahayari; kwa maana namjua yeye niliyemwamini, na kusadiki ya kwamba aweza kukilinda kile nilichokiweka amana kwake hata siku ile.
Explore 2 Tim 1:12
Home
Bible
Plans
Videos