Isaka, baba yake, akajibu, akamwambia,
Angalia, penye manono ya nchi patakuwa makao yako,
Na penye umande wa mbingu unaotoka juu.
Kwa upanga wako wewe utaishi, nawe utamtumikia nduguyo;
Na itakuwa utakapoponyoka,
Utalivunja kongwa lake katika shingo yako.