1
Ayu 27:3-4
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
(Kwa kuwa uhai wangu ukali mzima ndani yangu, Na roho ya Mungu i katika pua yangu;) Hakika midomo yangu haitanena yasiyo haki, Wala ulimi wangu hautatamka udanganyifu.
Compare
Explore Ayu 27:3-4
2
Ayu 27:6
Haki yangu naishika sana, wala sitaiacha; Moyo wangu hautanisuta wakati nikiwapo hai.
Explore Ayu 27:6
Home
Bible
Plans
Videos