1
Mt 22:37-39
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza. Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako.
Compare
Explore Mt 22:37-39
2
Mt 22:40
Katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii.
Explore Mt 22:40
3
Mt 22:14
Kwa maana waitwao ni wengi, bali wateule ni wachache.
Explore Mt 22:14
4
Mt 22:30
Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni.
Explore Mt 22:30
5
Mt 22:19-21
Nionyesheni fedha ya kodi. Nao wakamletea dinari. Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii, na anwani hii? Wakamwambia, Ni ya Kaisari. Akawaambia, Basi, mlipeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.
Explore Mt 22:19-21
Home
Bible
Plans
Videos