1
Mt 9:37-38
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Ndipo alipowaambia wanafunzi wake, Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache. Basi mwombeni Bwana wa mavuno, apeleke watenda kazi katika mavuno yake.
Compare
Explore Mt 9:37-38
2
Mt 9:13
Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.
Explore Mt 9:13
3
Mt 9:36
Na alipowaona makutano, aliwahurumia, kwa sababu walikuwa wamechoka na kutawanyika kama kondoo wasio na mchungaji.
Explore Mt 9:36
4
Mt 9:12
Naye aliposikia, aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.
Explore Mt 9:12
5
Mt 9:35
Naye Yesu alikuwa akizunguka katika miji yote na vijiji, akifundisha katika masinagogi yao, na kuihubiri habari njema ya ufalme, na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina.
Explore Mt 9:35
Home
Bible
Plans
Videos