1
Mk 1:35
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Hata alfajiri na mapema sana akaondoka, akatoka akaenda zake mahali pasipokuwa na watu, akaomba huko.
Compare
Explore Mk 1:35
2
Mk 1:15
akisema, Wakati umetimia, na ufalme wa Mungu umekaribia; tubuni, na kuiamini Injili.
Explore Mk 1:15
3
Mk 1:10-11
Mara alipopanda kutoka majini, akaona mbingu zinapasuka, na Roho, kama hua, akishuka juu yake; na sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe Mwanangu, mpendwa wangu; nimependezwa nawe.
Explore Mk 1:10-11
4
Mk 1:8
Mimi niliwabatiza kwa maji; bali yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu.
Explore Mk 1:8
5
Mk 1:17-18
Yesu akawaambia, Njoni mnifuate, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu. Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata.
Explore Mk 1:17-18
6
Mk 1:22
Wakashangaa mno kwa mafundisho yake; kwa maana alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye amri, wala si kama waandishi.
Explore Mk 1:22
Home
Bible
Plans
Videos