1
Mk 9:23
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Yesu akamwambia, Ukiweza! Yote yawezekana kwake aaminiye.
Compare
Explore Mk 9:23
2
Mk 9:24
Mara babaye yule kijana akapaza sauti, akasema, Naamini, nisaidie kutokuamini kwangu.
Explore Mk 9:24
3
Mk 9:28-29
Hata alipoingia nyumbani, wanafunzi wake wakamwuliza kwa faragha, Mbona sisi hatukuweza kumtoa? Akawaambia, Namna hii haiwezi kutoka kwa neno lo lote, isipokuwa kwa kuomba.
Explore Mk 9:28-29
4
Mk 9:50
Chumvi ni njema; lakini chumvi ikiwa si chumvi tena, mtaitia nini ikolee? Mwe na chumvi ndani yenu, mkakae kwa amani ninyi kwa ninyi.
Explore Mk 9:50
5
Mk 9:37
Mtu akimpokea mtoto mmoja wa namna hii kwa jina langu, anipokea mimi; na mtu akinipokea mimi, humpokea, si mimi, bali yeye aliyenituma.
Explore Mk 9:37
6
Mk 9:41
Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.
Explore Mk 9:41
7
Mk 9:42
Na ye yote atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, afadhali afungiwe jiwe la kusagia shingoni mwake, na kutupwa baharini.
Explore Mk 9:42
8
Mk 9:47
Na jicho lako likikukosesha, ling’oe, ulitupe; ni afadhali kuingia katika ufalme wa Mungu, una chongo, kuliko kuwa na macho mawili, na kutupwa katika jehanum
Explore Mk 9:47
Home
Bible
Plans
Videos