1
Zab 100:5
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Kwa kuwa BWANA ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
Compare
Explore Zab 100:5
2
Zab 100:4
Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake
Explore Zab 100:4
3
Zab 100:2
Mtumikieni BWANA kwa furaha; Njoni mbele zake kwa kuimba
Explore Zab 100:2
4
Zab 100:3
Jueni kwamba BWANA ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
Explore Zab 100:3
Home
Bible
Plans
Videos