1
Zab 140:13
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Hakika wenye haki watalishukuru jina lako, Wenye adili watakaa mahali ulipo Wewe.
Compare
Explore Zab 140:13
2
Zab 140:1-2
Ee BWANA, uniokoe na mtu mbaya, Unihifadhi na mtu wa jeuri. Waliowaza mabaya mioyoni mwao, Kila siku huondokesha vita.
Explore Zab 140:1-2
3
Zab 140:12
Najua ya kuwa BWANA atamfanyia mnyonge hukumu, Na wahitaji haki yao.
Explore Zab 140:12
4
Zab 140:4
Ee BWANA, unilinde na mikono ya mtu asiye haki; Unihifadhi na mtu wa jeuri; Waliowaza kuzipotosha hatua zangu.
Explore Zab 140:4
Home
Bible
Plans
Videos