1
Zab 146:5
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, Na tumaini lake ni kwa BWANA, Mungu wake
Compare
Explore Zab 146:5
2
Zab 146:3
Msiwatumainie wakuu, Wala binadamu ambaye hakuna wokovu kwake.
Explore Zab 146:3
3
Zab 146:7-8
Huwafanyia hukumu walioonewa, Huwapa wenye njaa chakula; BWANA hufungua waliofungwa; BWANA huwafumbua macho waliopofuka; BWANA huwainua walioinama; BWANA huwapenda wenye haki
Explore Zab 146:7-8
4
Zab 146:6
Aliyezifanya mbingu na nchi, Bahari na vitu vyote vilivyomo. Huishika kweli milele
Explore Zab 146:6
5
Zab 146:9
BWANA huwahifadhi wageni; Huwategemeza yatima na mjane; Bali njia ya wasio haki huipotosha.
Explore Zab 146:9
Home
Bible
Plans
Videos