1
Zab 22:1
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha? Mbona U mbali na wokovu wangu, Na maneno ya kuugua kwangu?
Compare
Explore Zab 22:1
2
Zab 22:5
Walikulilia Wewe wakaokoka, Walikutumaini wasiaibike.
Explore Zab 22:5
3
Zab 22:27-28
Miisho yote ya dunia itakumbuka, Na watu watamrejea BWANA; Jamaa zote za mataifa watamsujudia. Maana ufalme una BWANA, Naye ndiye awatawalaye mataifa.
Explore Zab 22:27-28
4
Zab 22:18
Wanagawanya nguo zangu, Na vazi langu wanalipigia kura.
Explore Zab 22:18
5
Zab 22:31
Nao watawahubiri watakaozaliwa haki yake, Ya kwamba ndiye aliyeyafanya.
Explore Zab 22:31
Home
Bible
Plans
Videos