1
Zab 41:1
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Heri amkumbukaye mnyonge; BWANA atamwokoa siku ya taabu.
Compare
Explore Zab 41:1
2
Zab 41:3
BWANA atamtegemeza alipo mgonjwa kitandani. Katika ugonjwa wake umemtandikia.
Explore Zab 41:3
3
Zab 41:12
Nami katika ukamilifu wangu umenitegemeza, Umeniweka mbele za uso wako milele.
Explore Zab 41:12
4
Zab 41:4
Nami nalisema, BWANA, unifadhili, Uniponye roho yangu maana nimekutenda dhambi.
Explore Zab 41:4
Home
Bible
Plans
Videos