1
Zab 63:1
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Ee MUNGU, Mungu wangu, nitakutafuta mapema, Nafsi yangu inakuonea kiu, Mwili wangu wakuonea shauku, Katika nchi kame na uchovu, isiyo na maji.
Compare
Explore Zab 63:1
2
Zab 63:3
Maana fadhili zako ni njema kuliko uhai; Midomo yangu itakusifu.
Explore Zab 63:3
3
Zab 63:4
Ndivyo nitakavyokubariki maadamu ni hai; Kwa jina lako nitaiinua mikono yangu.
Explore Zab 63:4
4
Zab 63:2
Ndivyo nilivyokutazama katika patakatifu, Nizione nguvu zako na utukufu wako.
Explore Zab 63:2
5
Zab 63:7-8
Maana Wewe umekuwa msaada wangu, Na uvulini mwa mbawa zako nitashangilia. Nafsi yangu inakuandama sana; Mkono wako wa kuume unanitegemeza.
Explore Zab 63:7-8
6
Zab 63:6
Ninapokukumbuka kitandani mwangu, Nakutafakari Wewe makesha yote ya usiku.
Explore Zab 63:6
Home
Bible
Plans
Videos