1
Ufu 2:4
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza.
Compare
Explore Ufu 2:4
2
Ufu 2:5
Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, naja kwako, nami nitakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu.
Explore Ufu 2:5
3
Ufu 2:10
Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.
Explore Ufu 2:10
4
Ufu 2:7
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu.
Explore Ufu 2:7
5
Ufu 2:2
Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo
Explore Ufu 2:2
6
Ufu 2:3
tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka.
Explore Ufu 2:3
7
Ufu 2:17
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa baadhi ya ile mana iliyofichwa, nami nitampa jiwe jeupe, na juu ya jiwe hilo limeandikwa jina jipya asilolijua mtu ila yeye anayelipokea.
Explore Ufu 2:17
Home
Bible
Plans
Videos